Mwakideu Asema Hakujua Dada Yake Atafichua Siri za Ndoa Yake na Burale

Mwakideu Asema Hakujua Dada Yake Atafichua Siri za Ndoa Yake na Burale

Mtangazaji maarufu wa redio, Alex Mwakideu, amekanusha madai kwamba alimpangia mtego mhubiri na mtangazaji Robert Burale kwenye kipindi chake cha podcast, baada ya mahojiano yaliyosababisha gumzo kubwa mitandaoni. Tuhuma hizo zilijitokeza baada ya Rozinah Mwakideu, dada yake Alex, kuibua mjadala mkali kwa kufichua kuwa kuolewa na Burale ilikuwa kosa kubwa zaidi maishani mwake. Kauli hiyo […]

Read More