ALBUM YA “ONLY ONE KING”  YA ALI KIBA YAFIKISHA STREAMS ZAIDI YA MILIONI 150

ALBUM YA “ONLY ONE KING” YA ALI KIBA YAFIKISHA STREAMS ZAIDI YA MILIONI 150

Album ya msanii Ali Kiba “Only One King” imefanikiwa kufikisha streams zaidi ya milioni 150. Mauzo ya album hiyo ya yamebainishwa na meneja wa msanii Ali kiba, Aidan Charlie akimjibu shabiki aliyetaka kujua sababu ya “Only One King” kutofanya vizuri katika majukwaa ya kusikiliza muziki mtandaoni. Shabiki huyo aliuliza kwenye sehemu ya comment, “Why isn’t […]

Read More