ALI KIBA ATANGAZA TOUR YA KUIPROMOTE ALBUM YAKE “ONLY ONE KING”
Nyota wa muziki wa Bongofleva kutoka Kings Music, Ali kiba ametangaza tour kwa ajili ya albamu yake mpya, Only One King. Albamu ya Only One King ilitoka Oktoba 7, mwaka wa 2021 ikiwa na ngoma 16 za moto alizowashirikisha wasanii kutoka Tanzania, Ghana, Afrika Kusini, Nigeria na Kenya. Kwa mujibu wa taarifa ya Kings Music, […]
Read More