ALI KIBA AWEKA HADHARANI TRACKLIST YA ALBUM YAKE MPYA “ONLY ONE KING”
Hatimaye orodha ya nyimbo ambazo zinaunda Album ya Mfalme wa muziki wa Bongo Fleva ali kiba iitwayo Only One King imeachiwa rasmi. Album hiyo ina jumla ya nyimbo kumi na sita na kwa sasa unaweza kui-pre order kupitia mtandao wa kusambaza muziki duniani wa Apple Music. Kwenye Album hiyo wasanii mbalimbali kama patoranking, black diamond, […]
Read More