Geoffrey Mosiria Amtolea Alicia Kanini Kazi Yenye Mshahara Mnono, Amshurutisha Kuacha Only Fans

Geoffrey Mosiria Amtolea Alicia Kanini Kazi Yenye Mshahara Mnono, Amshurutisha Kuacha Only Fans

Mwanaharakati na mhamasishaji wa maadili ya jamii, Geoffrey Mosiria, ametoa ofa ya kazi kwa mjasiriamali wa kidijitali na content creator, Alicia Kanini, yenye mshahara wa kati ya KSh 50,000 hadi KSh 100,000 kwa mwezi  lakini kwa masharti makali. Kwenye mahojiano maalum, Mosiria alisema yuko tayari kumsaidia Alicia kujikwamua kimaisha kupitia kazi halali, lakini ni lazima […]

Read More