LEO KATIKA HISTORIA NOVEMBA 9, ALIFARIKI DUNIA ALIYEKUWA MALKIA WA MUZIKI WA JAZZ BARANI AFRIKA, MIRIAM MAKEBA.
Siku kama ya leo Novemba 9 mwaka wa 2008 alifariki dunia aliyekuwa Malkia muziki wa Jazz duniani na Balozi wa kujitolea wa Umoja wa Mataifa Mwanamama Miriam Makeba Maarufu kama Mama Afrika. Makeba alizaliwa machi 8 mwaka wa 1932 huko Johannesburg, Afrika ya Kusini na alifariki Novemba 9, mwaka wa 2008 akiwa na umri wa […]
Read More