LEO KATIKA HISTORIA NOVEMBA 5, ALIZALIWA MKONGWE WA MUZIKI WA ROCK DUNIANI, BRYAN ADAMS.

LEO KATIKA HISTORIA NOVEMBA 5, ALIZALIWA MKONGWE WA MUZIKI WA ROCK DUNIANI, BRYAN ADAMS.

Siku kama leo Novemba 5, mwaka wa 1959 alizaliwa mwanamuziki, mwimbaji, prodyuza, mpiga gitaa, mpiga picha, mwanaharakati na mtoaji kwa jamii, raia wa Canada Bryans Guy Adams. Bryan Adams alizaliwa Kingston Ontario nchini Canada kwa wazazi kutoka Uingereza Elizabeth Watson na Caotain Conrad J. Adams waliohamia miaka ile ya 1950 wakitokea Plymouth, England. Aliibuka na […]

Read More