LEO KATIKA HISTORIA NOVEMBA 11,ALIZALIWA MWANASOKA WA KIMATAIFA WA UHOLANZI GEORGINO WIJNALDUM

LEO KATIKA HISTORIA NOVEMBA 11,ALIZALIWA MWANASOKA WA KIMATAIFA WA UHOLANZI GEORGINO WIJNALDUM

Siku kama ya leo Novemba 11 mwaka wa 1990 alizaliwa mwanasoka kimataifa wa Uholanzi Georgino Wijnaldum  ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya Paris Saint-Germain inayoshiriki ligi kuu nchini Ufaransa. Jina lake halisi ni Georgino Gregion Emile na alizaliwa huko Rotterdam nchini Uholanzi ambako alianza soka mwaka wa 2007 kwenye klabu  ya Feyernood ambapo aliisaidia klabu […]

Read More