LEO KATIKA HISTORIA NOVEMBA 17, ALIZALIWA ALIYEKUWA MWANASOKA WA URENO NA KLABU YA MANCHESTER UNITED, LUIS NANI.
Siku kama ya leo Novemba 17 mwaka wa 1986 alizaliwa mwanasoka wa zamani wa Ureno na klabu ya Manchester, Luis Nani. Jina lake halisi ni Luis Carlos Almeida da Cunha na alizaliwa huko Amadora nchini Ureno ambako alianza soka katika timu ya vijana ya Sporting CP kabla ajejiunga na klabu kubwa ya Sporting CP ya […]
Read More