LEO KATIKA HISTORIA NOVEMBA 23,ALIZALIWA STAA WA MUZIKI WA POP DUNIANI, MILEY CYRUS
Siku kama ya leo Novemba 23 mwaka wa 1992 alizaliwa staa wa muziki wa Pop na Hiphop kutoka nchini Marekani, Miley Cyrus. Jina lake halisi ni Destiny Hope Cyrus na alizaliwa huko Franklin Tennesse nchini Marekani ambako alianza kama muigizaji wa kipindi cha runinga cha Hannah Montana kabla ya kuanza muziki mwaka wa 2007 alipoachia […]
Read More