Allan Skin Atuhumiwa Kupora Mazao ya Kasisi Uganda
Msanii mwenye utata kutoka Uganda, Alien Skin, anakabiliwa na tuhuma nzito za wizi baada ya kasisi maarufu wa jiji la Kampala, Martin Ssempa, kudai kuwa alihusika katika uporaji wa mazao yake ya shambani. Kwa mujibu wa Ssempa, msafara unaodaiwa kuwa wa Allan ulisimamisha gari la mmoja wa mfanyakazi wake katika barabara ya Nakawuka-Natete,na kisha kumshushia […]
Read More