Mwigizaji Mtandaoni Am Kabugi Akanusha Taarifa za Kupatwa na Msongo

Mwigizaji Mtandaoni Am Kabugi Akanusha Taarifa za Kupatwa na Msongo

Mwigizaji wa mtandaoni, Am Kabugi, amekanusha taarifa zinazoenea mitandaoni kuwa anapitia changamoto za msongo wa mawazo kutokana na hali ngumu ya maisha jijini Nairobi. Kupitia Insta Story yake, Kabugi amefafanua kuwa hana tatizo la msongo wa mawazo kama inavyodaiwa, bali anatafakari uwezekano wa kuhamia miji mingine mikubwa kama Nakuru, Kisumu, Mombasa, au Eldoret ambako anaamini […]

Read More