MRISHO MPOTO ASHANGAA WASANII WAKUBWA WA BONGOFLEVA KUIMBA AMAPIANO

MRISHO MPOTO ASHANGAA WASANII WAKUBWA WA BONGOFLEVA KUIMBA AMAPIANO

Msanii mwenye mashairi yaliyoshiba kutoka nchini Tanzania Mrisho Mpoto ameeleza kushangaa na namna wasanii wa Bongofleva wanavyokilimbilia kufanya muziki wa Amapiano kutoka Afrika Kusini. Kwenye mahojiano na E FM Mpoto amesema kuna wasanii wakubwa nchini Tanzania wana kila kitu katika muziki wao lakini anashangaa ni kipi hasa wanakitafuta kwenye Amapiano. “Unakuta mpaka malegendary wakubwa wameingia […]

Read More