Mwanamuziki wa Cameroon atoa ya moyoni baada ya kuchoshwa na muziki wa Nigeria nchini kwao
Baada ya kilio cha Wakenya na wana Afrika Mashariki kuhusu upigwaji wa nyimbo za Nigeria kukithiri kwenye kumbi za starehe na maeneo mbali mbali, hatimaye kilio hicho kimefika hadi kwa wana Afrika Magharibi wenyewe. Kupitia mtandao wa Facebook, mwanamuziki wa Cameroon AmbeDiSing ameibuka na malalamiko ya kukithiri upigwaji wa muziki wa Nigeria nchini kwao kuliko […]
Read More