Amber Lulu aumizwa vibaya kwa vipigo
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Amber Lulu ameweka wazi changamoto anazozipitia katika mahusiano yake ikiwa ni pamoja na kupigwa na kutishiwa kuuawa. Kupitia instastory yake mrembo huyo ameandika ujumbe mrefu wa masikitiko akieleza namna alivyoumizwa vibaya kwa kipigo huku akidai sababu kubwa ya kupitia manyanyaso hayo ni mtoto wake. “Daa nimekuwa mtu wakuangaika na kuteseka pasipo […]
Read More