Amber Ray Asema Uhusiano Wake na Rapudo Ulivunjika kisa Chai
Sociliate kutoka Kenya, Amber Ray, ameibua gumzo mtandaoni baada ya kufunguka chanzo cha kuvunjika kwa uhusiano wake na mchumba wake, Kennedy Rapudo. Akizungumza kwenye mahojiano na Obinna TV, Amber amesema uhusiano wao uliingia doa baada ya Rapudo kumlazimisha kupika chai wakati yeye alikuwa na hangover kali. Amesema ingawa huwa mnyenyekevu kwa baba wa mtoto wake, […]
Read More