Amber Rose Aibua Mjadala Mpya Kuhusu Kesi ya Megan Thee Stallion

Amber Rose Aibua Mjadala Mpya Kuhusu Kesi ya Megan Thee Stallion

Mwanamitindo na mwanaharakati Amber Rose ameeleza hadharani sababu za kumtetea msanii Tory Lanez katika kesi ya kumpiga risasi Megan Thee Stallion mwaka 2020. Akizungumza kwenye mahojiano ya moja kwa moja katika kipindi cha Chris Cuomo kinachorushwa kupitia NewsNation, Rose alisema anaamini Lanez hana hatia na anastahili kusamehewa na Gavana wa California, Gavin Newsom. Katika mazungumzo […]

Read More
 Amber Rose mbioni kuandika kitabu kuhusu dhuluma dhidi ya wanawake

Amber Rose mbioni kuandika kitabu kuhusu dhuluma dhidi ya wanawake

Mwanamitindo maarufu duniani Amber Rose ameibuka na kudai kuwa kuna unyanyasaji mkubwa sana wa wanawake lakini vyombo vya habari vimekuwa na upendeleo pale mwanamke anapojitokeza kuongea ukweli. Amber amefunguka kuwa ndio maana huchukua miaka mingi kwa mwanamke kuja kuzungumza unyanyasaji alioupitia kwenye maisha yake kwani wakijitokeza mapema huitwa waongo. Mwanamama huyo ambaye kipindi cha nyuma […]

Read More
 AMBER ROSE AFUNGUKA KUHUSU TWEET YAKE  YA MWAKA 2015 INAYOONEKANA KUMPONZA EX WAKE KANYE WEST

AMBER ROSE AFUNGUKA KUHUSU TWEET YAKE YA MWAKA 2015 INAYOONEKANA KUMPONZA EX WAKE KANYE WEST

Mwanamitindo kutoka Marekani, Amber Rose amevunja kimya chake kuhusu sakata linaloizingira ndoa ya  Kim Kardashian na Kanye West baada ya watu kumkumbusha tweet yake ya zamani aliyomponda Kanye West. Tweet hiyo aliyoipost mwaka 2015 baada ya kuachana na Kanye West ilisomeka  “Kanye West, nitawaachia ‘Kartrashians’ wakudhalilishe pale ambapo watakuwa wamemalizana na wewe.” Hiyo ilikuwa baada […]

Read More