Jennifer Lopez Azua Taharuki AMAs kwa Mabusu ya Jukwaani

Jennifer Lopez Azua Taharuki AMAs kwa Mabusu ya Jukwaani

Mwanamuziki nyota Jennifer Lopez ameibua gumzo kubwa baada ya kufanya onyesho la kuvutia katika Tuzo za American Music Awards 2025, ambapo aliwabusu mcheza densi wa kiume na wa kike jukwaani mbele ya hadhira kubwa mjini Los Angeles. Tukio hilo lilijiri wakati wa onyesho la ufunguzi wa hafla hiyo, ambapo Lopez alionesha ujasiri, ubunifu na utawala […]

Read More
 Wasanii wa Nigeria wang’aa kwenye nominations ya tuzo za American Music Awards 2022

Wasanii wa Nigeria wang’aa kwenye nominations ya tuzo za American Music Awards 2022

Waandaji wa tuzo za Muziki nchini Marekani maarufu kama (American Music Awards) wametoa orodha ya wasaniii watakaowania tuzo hizo mwaka huu ambapo Beyonce na Taylor Swift wameongoza kwa kutajwa zaidi kwenye vipengele wakiwa wametajwa mara 6 kila mmoja. Gumzo limekuja baada ya kuonekana kipengele maalum cha Muziki wa Afrobeats kwenye Tuzo hizo ambacho kinaitwa (Favorite […]

Read More