Marekani Yapiga Marufuku WhatsApp Katika Vifaa vya Serikali

Marekani Yapiga Marufuku WhatsApp Katika Vifaa vya Serikali

Baraza la Wawakilishi la Marekani limetoa amri ya kupiga marufuku matumizi ya programu ya WhatsApp kwenye vifaa vyote vinavyomilikiwa na serikali, likieleza kuwa hatua hiyo inalenga kulinda usalama wa kitaifa, data nyeti, na mawasiliano ya ndani ya serikali. Katika taarifa rasmi iliyotolewa jana, Baraza hilo lilieleza kuwa uamuzi huo umetokana na wasiwasi unaoongezeka kuhusu namna […]

Read More