MREMBO AMINA MUADDI AKANUSHA KUVUNJA PENZI LA RIHANNA NA ASAP ROCKY
Mrembo mbunifu wa viatu Amina Muaddi ameibuka na kukanusha taarifa za kulivunja penzi la Rihanna na Asap Rocky. Kupitia insta stories kwenye mtandao wa Instagram, mrembo huyo ameandika kwamba ameamua kufunguka kwa sababu taarifa hizo zinamvunjia heshima kwa kuwa Rihanna & A$AP Rocky ni watu ambao ana waheshimu kwa kiasi kikubwa sana. Kauli ya Mrembo […]
Read More