Azeezah Hashim Asema Wanaume Wanaomfuata Andrew Tate au Kibe ni Red Flag
Mtangazaji na mrembo maarufu Azeezah Hashim amezua gumzo mitandaoni baada ya kueleza msimamo wake kuhusu wanaume wanaoamini na kufuata mitazamo ya wanablogu wenye utata Andrew Tate na Andrew Kibe. Katika mahojiano na Milard Ayo, Azeezah alisema wazi kuwa hawezi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanaume anayeshikilia imani kwamba wanaume na wanawake hawawezi kuwa marafiki […]
Read More