Lily Wayne akataa utajiri kutumika kama ushahidi mahakamani

Lily Wayne akataa utajiri kutumika kama ushahidi mahakamani

Rapa kutoka nchini Marekani Lil Wayne amedai kwamba hali yake ya kifedha inapaswa kuachwa mbali na kesi ya madai ya ushambulizi dhidi ya msaidizi wake wa zamani, Andrew Williams ili isije kuathiri mchakato wa mahakama. Rapa huyo Anataka taarifa kuhusu utajiri wake kuepukwa isipokuwa tu kama atapatikana na hatia, kwa kudai kuwa kuhusisha mambo ya […]

Read More