Android 16 Yaleta Mwonekano Mpya wa Sliders katika Simu za Android

Android 16 Yaleta Mwonekano Mpya wa Sliders katika Simu za Android

Kampuni ya Google imezindua mfumo wake mpya wa uendeshaji wa simu, Android 16, ambao umeleta maboresho kadhaa yanayolenga kuboresha uzoefu wa mtumiaji. Miongoni mwa mabadiliko yaliyoonekana na kuvutia watumiaji wengi ni mwonekano mpya wa sliders, vifaa vinavyotumika kuongeza au kupunguza sauti, mwanga wa skrini, na chaguzi nyingine mbalimbali zinazotumia mfumo wa kushusha au kupandisha viwango. […]

Read More