Amazon Yasitisha Ajira Mpya, AI Kuchukua Nafasi za Binadamu
Kampuni kubwa ya biashara mtandaoni duniani, Amazon, imetangaza mpango wa kupunguza baadhi ya nafasi za ajira kwa wafanyakazi wa maofisini (white-collar jobs), huku ikiendelea kuwekeza kwa kasi katika teknolojia ya akili bandia (AI) ili kuongeza ufanisi wa kazi. Taarifa hiyo imetolewa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Amazon, Andy Jassy, kupitia waraka wa ndani kwa wafanyakazi. […]
Read More