Angel Nyigu Apinga Vikali Dansa Bora wa Zuchu

Angel Nyigu Apinga Vikali Dansa Bora wa Zuchu

Dansa maarufu nchini Tanzania Angel Nyigu amefunguka kwa hisia kali baada ya msanii wa Bongo Fleva, Zuchu, kudai kuwa Ashurey ndiye dansa namba moja Afrika Mashariki. Kauli hiyo imeonekana kumkera Nyigu, ambaye amesema Ashurey bado ni mtoto mdogo na hajafikia viwango vya kupewa heshima hiyo kubwa katika tasnia ya densi. Angel Nyigu aliongeza kuwa umaarufu […]

Read More