ANGELIQUE KIDJO ASHINDA TUZO YA GRAMMY KUPITIA KIPENGELE CHA BEST GLOBAL MUSIC ALBUM

ANGELIQUE KIDJO ASHINDA TUZO YA GRAMMY KUPITIA KIPENGELE CHA BEST GLOBAL MUSIC ALBUM

Mwanamuziki kutoka nchini Benin, Angelique Kidjo ameibuka mshindi wa kipengele cha Best Global Music Album kwenye Tuzo za Grammy ambazo zimetolewa usiku wa kuamkia leo. Kidjo na album yake ‘Mother Nature’ amemuangusha Wizkid kupitia album yake ‘Made In Lagos: Deluxe Edition’ ambayo ilikuwa inapewa kipaumbele. Lakini pia Wizkid amepata pigo nyingine baada ya mwanamuziki Arooj […]

Read More