ANGELLA KATATUMBA AJITAPA KUWA YEYE NDIYE MSANII ANAYETREND ZAIDI UGANDA BILA KUACHIA HITSONG

ANGELLA KATATUMBA AJITAPA KUWA YEYE NDIYE MSANII ANAYETREND ZAIDI UGANDA BILA KUACHIA HITSONG

Msanii wa kike nchini Uganda Angellla Katatumba anaamini kuwa yeye ni moja kati ya wasanii wanaozungumziwa nchini humo licha ya kutoachia magoma makali. Kupitia mitandao yake ya kijamii ameibuka na kujinasibu kuwa ana neema ya kuzungumziwa kwa kila anachokifanya kwenye maisha yake. Hata hivyo mashabiki zake wametofautiana kimawazo na   mrembo huyo wakimtaka aache kuzungumza […]

Read More