ANGELLA KATATUMBA AKIRI KUTESWA NA MAPENZI

ANGELLA KATATUMBA AKIRI KUTESWA NA MAPENZI

Mwanamuziki kutoka uganda Angella Katatumba amewashangaza mashabiki wake alipofichua kwamba kuna kipindi maishani mwake alikula tu vipande vya barafu kwa takriban wiki tatu. Katika mahojiano yake hivi karibuni msanii huyo wa Black Market Records (BMR) amefunguka kuhusu matatizo yake ya maisha akisema kwamba alikula vipande vya barafu kwa wiki tatu alipoachwa na mume wake wa […]

Read More
 BLACK MARKET RECORDS YAMTAKA PRODYUZA DADDY ANDRE KUFUFUA MUZIKI WA ANGELLA KATATUMBA

BLACK MARKET RECORDS YAMTAKA PRODYUZA DADDY ANDRE KUFUFUA MUZIKI WA ANGELLA KATATUMBA

Angella Katatumba ni moja kati wasanii ambao wamedumu kwenye tasnia muziki nchini uganda kwa muda mrefu. Licha ya kuanza muziki miaka 15 iliyopita, mrembo huyo mwenye umri wa miaka 46 amekuwa akipambana kuupeleka muziki wake kimataifa. Wakati alikutana na prodyuza Daddy Andre mwaka wa 2018 walirekodi wimbo wa pamoja uitwao “Tonelabira” ambao ulikuja ukawa mkubwa […]

Read More
 DADDY ANDREA NA ANGELLA KATATUMBA WAFUFUA TENA PENZI LAO

DADDY ANDREA NA ANGELLA KATATUMBA WAFUFUA TENA PENZI LAO

Wasanii Angella Katatumba na Daddy Andrea walivunja uhusiano wao mwaka wa 2020 baada andrea kudinda kufanya vipimo vya HIV.   Kwenye mahojiano mbali mbali Daddy Andrea alithibitisha kwamba hajawahi mpenda Angella Katatumba na jambo hilo lilimsumbua sana mrembo huyo.   Andrea alienda mbali zaidi na kuanza mahusiano mapya na Nina Roz ila mahusiano yao yalikuja […]

Read More