Kundi la muziki kutoka Kenya Wadagliz lasajili kisheria msemo wao wa Anguka Nayo
Wasanii wa kundi la Wadagliz kutoka nchini Kenya wamefanikiwa kusajili msemo wao maarufu wa Anguka Nayo ambao umebeba jina la wimbo wao kama chapa au nembo ya kibiashara. Taarifa hiyo imethibitishwa na lebo ya muziki ya Hood Music kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram na kusema kuwa Wadagiliz kwa sasa ndiye wamiliki halisi wa jina […]
Read More