Msanii Anjella Aingia Rasmi Kwenye UdalaIi wa Nyumba Baada ya Kushindwa na Muziki

Msanii Anjella Aingia Rasmi Kwenye UdalaIi wa Nyumba Baada ya Kushindwa na Muziki

Mwanamuziki wa Bongofleva Anjella ameibuka na kuweka wazi kuwa maisha ya sanaa yamekuwa magumu kwake, hasa upande wa kupata kipato cha kutosha, hali iliyomlazimu kuanza kutafuta riziki kupitia udalali wa nyumba. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Anjella amesema wazi kuwa muziki haujamletea mapato ya kutosheleza mahitaji yake, na hivyo ameamua kuwekeza nguvu katika kazi ya […]

Read More
 Anjella awataka mashabiki wawe na subira

Anjella awataka mashabiki wawe na subira

Mwimbaji Anjella  baada ya kuaga Konde Music Worldwide amewataka mashabiki wake wawe na subira. Nyota huyo wa kizazi kipya amebainisha hilo akizungumza kwenye mahojiano na CloudsE ya Clouds Fm mchana huu. “Kila kitu nitakuja kukiweka wazi, mashabiki wangu wawe na subira,” -ameeleza Anjella akiiambia Clouds E. Anjella ameamua kueleza hilo kufuatia mashabiki wake kutamani kujua […]

Read More
 Anjella aaga rasmi Konde Gang

Anjella aaga rasmi Konde Gang

Hatimaye mwanamuziki Anjella ameaga rasmi kwa waliokuwa waajiri wake lebo ya muziki Konde Music Worldwide Nyota huyo amewashukuru Konde Gang kwa kukiona kipaji chake na kumpa nafasi iliyochangia kwa kiasi kikubwa ukuaji wake kisanaa, Anjella ameutumia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram kutuma salamu hizo, ikiwa ni ishara ya kukamilika kwa taratibu zote za kisheria […]

Read More
 Baba Levo ahaidi kumsaidia Anjella baada ya Harmonize kumkimbia

Baba Levo ahaidi kumsaidia Anjella baada ya Harmonize kumkimbia

Sakata la Harmonize na msanii wake Anjella limemgusa mwanamuziki wa Bongofleva Baba Levo ambaye ameweka wazi atamsaidia msanii huyo matibabu ya mguu wake kwa kumpeleka India na Qatar. Kupitia ukurasa wake instagram Baba Levo amesema “Dada Anjella Naitwa Baba Levo NAKUHAKIKISHIA UTAENDA QATAR NA UTAENDA INDIA PIA KWA AJILI YA MATIBABU …!! KIRANDAGE PAMOJA NA […]

Read More
 Harmonize akanusha kumdai Anjella shillingi millioni 52

Harmonize akanusha kumdai Anjella shillingi millioni 52

Bosi wa lebo ya Konde Music Worldwide, Msanii Harmonize ameamua kuvunja kimya chake juu ya stori zinazotembea mtandaoni kuhusu kumkimbia msanii wake Anjella. Kupitia instastoy yake Harmonize ameweka wazi kuwa ni kweli amefika mwisho wa kumsapoti Anjella, hivyo kwa yeyote mwenye uwezo anaruhusiwa kumshika mkono msanii huyo bila pingamizi. Hitmaker huyo wa “Leave Me Alone […]

Read More