MWANAMUZIKI WA UGANDA RAY G AMPOTEZA BINTIYE WA SIKU 12

MWANAMUZIKI WA UGANDA RAY G AMPOTEZA BINTIYE WA SIKU 12

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Ray G, ametangaza kumpoteza binti yake Kim aliyekuwa na umri wa siku 12. Kupitia mitandao yake ya kijamii Ray G , amesema mtoto huyo alifariki Disemba 21 kufuatia kusumbuliwa na ugumu wa kupumua. Msanii huyo amedokeza kwamba walifanya kila kitu kuokoa maisha ya binti yake huyo lakini juhudi zao ziliambuliwa patupu. […]

Read More