Ringtone Apoko Atangaza Kuhutubia Umma Baada ya Kuachiwa kwa Dhamana
Msanii maarufu wa muziki wa injili, Ringtone Apoko, amedokeza kuwa atazungumza na umma wiki hii, katika kile kinachoonekana kama hotuba muhimu kufuatia matukio ya hivi karibuni maishani mwake. Katika ujumbe huo aliyouchapisha Instagram, msanii huyo alionesha shukrani kwa marafiki zake waliomsaidia wakati wa kipindi kigumu, na kumshukuru Mungu kwa kupitia changamoto alizopitia. “WILL BE ADRESS […]
Read More