WhatsApp Yaanza Kupatikana Rasmi kwa Watumiaji wa iPad
Baada ya kusubiri kwa zaidi ya miaka 15, hatimaye kampuni ya Meta imezindua rasmi toleo la WhatsApp kwa iPad. Kwa muda mrefu, watumiaji wa iPad walikosa njia ya moja kwa moja kutumia WhatsApp, tofauti na watumiaji wa simu na kompyuta ambao walikuwa na app kamili au toleo la WhatsApp Web. Kwa mujibu wa taarifa ya […]
Read More