Mchekeshaji Arap Uria Afunguka Kuhusu Madai ya Kutelekeza Mtoto

Mchekeshaji Arap Uria Afunguka Kuhusu Madai ya Kutelekeza Mtoto

Mchekeshaji maarufu wa jamii ya Kalenjin, Arap Uria, ameweka wazi changamoto za maisha yake binafsi kufuatia madai yaliyotolewa mtandaoni na mama wa mtoto wake, aliyemshutumu kwa kutotekeleza majukumu yake kama mzazi. Kupitia taarifa ya hadhara, Arap Uria amekanusha vikali madai hayo na kusisitiza kuwa amekuwa akimlea mtoto wake kwa upendo na kuwajibika kifedha kila mara. […]

Read More