Argentina yatinga fainali ya Kombe la Dunia Qatar 2022
Timu ya taifa ya Argentina imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Dunia Qatar 2022 kufuatia kuibutua timu ya taifa ya Croatia bao 3-0 katika mchezo uliochezwa uwanja wa Lusail Jumanne Disemba 13. Julian Alvarez amefunga magoli mawili moja likiwa ni juhudi binafsi ikichagizwa na uzembe wa walinzi wa Croatia na kisha maajabu ya Messi yakapelekea […]
Read More