Ariana Grande Aomboleza Kifo cha Bibi Yake Mpendwa Marjorie “Nonna” Grande
Msanii maarufu wa Marekani, Ariana Grande, pamoja na familia yake, wanaomboleza kifo cha bibi yao mpendwa Marjorie “Nonna” Grande, aliyefariki dunia jana akiwa na umri wa miaka 99, nyumbani kwake. Nonna alikuwa sehemu ya karibu sana ya maisha ya Ariana, na mchango wake katika safari ya muziki ya mjukuu wake umeacha alama isiyofutika. Marjorie Grande […]
Read More