Mrembo Arnelisa Muigai akata penzi la mwanamuziki Dufla Diligon

Mrembo Arnelisa Muigai akata penzi la mwanamuziki Dufla Diligon

Huenda juhudi za mwanamuziki Dufla Diligon zikagonga mwamba baada ya mrembo Arnelisa Muigai kukataa hadharani ombi la msanii huyo kutaka kuingia naye kwenye mahusiano ya kimapenzi. Kupitia ukurasa wake wa Instagtam Arnelisa amesikitishwa na kitendo cha Dufla kutumia sarakasi nyingi mtandaoni kwa ajili ya kuteka hisia zake huku akisema kuwa mapenzi hayalazimishwa. Kauli ya Arnelisa […]

Read More
 Ben Pol akanusha kukamilika kwa talaka yake na Arnelisa Muiga

Ben Pol akanusha kukamilika kwa talaka yake na Arnelisa Muiga

Mwimbaji wa Bongofleva, Ben Pol amejitokeza na kusema kuwa hajapata taarifa yoyote kuhusu kukamilika kwa talaka na aliyekuwa mke wake, Anerlisa. Wiki iliyopita Anerlisa ambaye ni binti wa seneta wa Nakuru Tabitha Karanja alitangaza kuwa mchakato wa talaka yake na Ben Pol umekamilika. “Mimi pia naona ripoti hizi mtandaoni. Sijafahamishwa rasmi au kwa njia isiyo […]

Read More
 ARNELISA AFUNGUKA WANAUME KUPENDA PESA ZAKE WANAPOKUWA KWENYE MAHUSIANO NAYE

ARNELISA AFUNGUKA WANAUME KUPENDA PESA ZAKE WANAPOKUWA KWENYE MAHUSIANO NAYE

Mrembo na Mjasiriamali nchini, Anerlisa amesema kuna ex wake alitaka amfungulie biashara jambo ambalo alilikataa na huo ukawa mwisho wa kuachana. Kupitia instastory yake amezungumzia pia suala la kuomba fedha kila wakati katika mahusiano kitu ambacho alikuja kubaini kuwa watu wanaenda kwake kwa ajili kujinufaisha na sio mapenzi. “Nilikuwa kwenye mahusiano ambapo mwenzi wangu alianza […]

Read More