Mchekeshaji Arnold Saviour Akwama Kuhudhuria Tamasha la Kikwetu Uholanzi
Mchekeshaji maarufu wa Kenya Arnold Saviour hatoweza kushiriki kwenye Tamasha la Kikwetu linalotarajiwa kufanyika nchini Uholanzi baada ya matatizo ya kupata visa kuzima safari yake. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa menejimenti yake, maandalizi yote ya safari yalikuwa yamekamilika, ikiwemo mipangilio ya usafiri na ratiba ya burudani, lakini changamoto za dakika za mwisho katika mchakato […]
Read More