AROMA AJIUNGA NA LEBO TEAM NO SLEEP
Msanii kutoka Uganda Aroma alipata umaarufu kwenye muziki wake kupitia wimbo uitwao Yoola ambao aliwashirikisha wasanii wa B2c Boys. Tangu wakati huo amekuwa akiachia magoma makali ambayo yanazidi kufanya vizuri kwenye chati mbali mbali za muziki. Aroma, ambaye amekuwa akifanya na uongozi wa Butterfly Entertainment inaonekana amefanya mabadiliko kwenye kazi yake ya muziki. Taarifa mpya […]
Read More