Arrow Bwoy Akubali Changamoto ya Ndondi kutoka kwa Shakib Khan
Msanii wa Kenya, Arrow Bwoy, amekubali changamoto ya pambano la ngumi kutoka kwa Shakib Cham, mume wa sosholaiti Zari Hassan. Hii inajiri siku moja tu baada ya Shakib kupokea kichapo cha mbwa kwa knockout na msanii wa Uganda, Rickman Manrick. Kupitia ujumbe wake, Arrow Bwoy amemjibu Shakib kwa kejeli, akimtaka ajitayarishe ipasavyo endapo pambano hilo […]
Read More