Arrow Bwoy Aitetea Taasisi ya Ndoa
Msanii kutoka Kenya, Arrow Bwoy, ameingilia kati mjadala unaoendelea mitandaoni kuhusu mada ya “Marriage hubamba mafala” iliyoanzishwa na socialite Chebet Ronoh. Chebet alizua gumzo kubwa akidai kwamba ndoa ni ya mafala (wajinga), kauli ambayo imewagawa mashabiki mtandaoni. Wengi wamekuwa wakitoa maoni tofauti, huku baadhi wakiunga mkono na wengine kupinga vikali. Akizungumza kwa mtazamo wake, Arrow […]
Read More