MUONEKANO WA NADIA MUKAMI WAZUA GUMZO MTANDAONI, ADAIWA ANA UJA UZITO WA ARROW BOY
Nyota wa muziki nchini Nadia Mukami anadaiwa kushika ujauzito wa mpenzi wake Arrow Boy Uvumi huo umeanza kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii kutokana na muendelezo wa picha na mavazi ambayo Nadia Mukami amekuwa akivaa kwa sasa. Kwanza kabisa ni picha aliyopiga na Arrow Boy ambayo inamuonesha Nadia Mukami kuficha tumbo lake mbele ya […]
Read More