Prodyuza wa muziki Artin Pro ajitenga na madai ya kuomba wasanii wa kike rushwa ya ngono
Prodyuza wa muziki kutoka nchini Uganda Artin Pro amejitenga na madai ya kuomba rushwa ya ngono kutoka kwa wasanii wa kike ili aweze kuwasaidia kutanua wigo wao kimuziki. Artin amesema anaheshimu kazi yake ya kutayarisha muziki, hivyo hawezi kuwa na tamaa ya kuwataka kimapenzi na wasanii wa kike kwa kuwa ni wateja wake wanaompa kazi […]
Read More