Msanii Arrow Bwoy Ajeruhiwa Vibaya na Polisi Katika Maandamano ya Amani Jijini Nairobi
Msanii maarufu wa muziki nchini Kenya, Arrow Bwoy, amejeruhiwa vibaya baada ya kushambuliwa na afisa wa polisi wakati wa maandamano ya amani yaliyofanyika jijini Nairobi. Maandamano hayo yaliandaliwa kwa lengo la kushinikiza haki kufuatia kifo cha Albert Ojwang, bloga na mwalimu mchanga aliyefariki akiwa mikononi mwa polisi. Tukio hilo lilijiri mbele ya mashuhuda kadhaa, huku […]
Read More