DCCAK Yamkemea Rigathi Gachagua kwa Kutaka Wasanii wa Mlima Kenya Wasusiwe
Chama cha Watayarishaji wa Maudhui ya Kidijitali Kenya (DCCAK) kimemkosoa vikali Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua kufuatia wito wake wa kususia wasanii wa eneo la Mlima Kenya waliokutana na Naibu Rais Kithure Kindiki. Kupitia taarifa rasmi kwa vyombo vya habari, DCCAK ilieleza kuwa matamshi ya Gachagua ni ya kurudisha nyuma taifa na ni shambulio […]
Read More