AS Monaco Yamtangaza Rasmi Pogba kwa Mkataba wa Miaka Miwili

AS Monaco Yamtangaza Rasmi Pogba kwa Mkataba wa Miaka Miwili

AS Monaco imetangaza rasmi kumsaini kiungo wa zamani wa Manchester United na Juventus, Mfaransa Paul Pogba, kwa mkataba wa miaka miwili. Usajili huu unakuja mara tu baada ya Pogba kumaliza kifungo chake cha kutocheza soka kufuatia kosa la matumizi ya dawa za kusisimua misuli (doping), lililomsimamisha kwa muda mrefu nje ya uwanja. Kupitia taarifa rasmi […]

Read More