ASAP Rocky Azima Tetezi za Albamu ya Pamoja na Young Thug
Rapa maarufu kutoka Marekani, ASAP Rocky, amevunja kimya na kuzima uvumi uliokuwa ukisambaa mitandaoni kuhusu uwezekano wa kutoa albamu ya pamoja na Young Thug. Tetezi hizo zilianza kushika kasi jana baada ya ASAP Illz, mmoja wa wanachama wa ASAP Mob, kuashiria uwezekano wa collabo hiyo kupitia ujumbe wa kuvutia kwenye mitandao ya kijamii. Hata hivyo, […]
Read More