Vera Sidika awatolea uvivu wanaokosoa nywele za binti yake Asia Brown

Vera Sidika awatolea uvivu wanaokosoa nywele za binti yake Asia Brown

Soshalaiti maarufu mtandaoni kutoka nchini Kenya Vera Sidika ameshindwa kuwavumilia wanaokashifu mtindo wa nywele ya binti yake mchanga Asia Brown ambayo alikuwa amesukwa  kwenye kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Vera amesema watu wanaomunyoshea kidole cha lawama kuwa anamtesa binti yake kwa kumwekea nywele nzito kichwani ni malimbukeni kwani nywele […]

Read More