Aslay akiri kukataa lebo tatu za muziki kabla ya kujiunga na RockStar
Mwimbaji wa Bongofleva, Aslay amesema alilazimika kuzikataa Lebo tatu kubwa zilizotaka kufanya kazi na yeye baada ya kuachana na Yamoto Band na kuanza kupata mafanikio kimuziki akiwa pekee yake (solo) kufuatia kuachia ngoma mfululizo. Katika documentary yake iliyoipa jina ‘Mimi ni Bongo Fleva’, Aslay amesema suala la mikataba na Lebo hizo ndilo hasa lilimfanya kuachana […]
Read More