AT Amvua Master J Hadhi ya Prodyuza: “Si Mzalishaji Bali Ni Mmiliki wa Studio”
Msanii wa Bongefleva AT ameibua mjadala mkali katika tasnia ya muziki wa Tanzania baada ya kutoa kauli nzito zinazomvua hadhi Master J kama prodyuza halisi. Kwa mujibu wa AT, Master J si mzalishaji wa muziki bali ni mmiliki wa studio maarufu za MJ Records. Amefafanua kuwa kitaaluma, Master J alisomea masuala ya electronics na sio […]
Read More